#HABARI: Jeshi la Polisi Kamisheni ya Zanzibar, limekanusha taarifa za kutekwa kwa watoto huku, likimshikilia Habibu Rashid Omar…

#HABARI: Jeshi la Polisi Kamisheni ya Zanzibar, limekanusha taarifa za kutekwa kwa watoto huku, likimshikilia Habibu Rashid Omar (35) mkaazi wa Mwera ambaye, anatuhumiwa kuchapisha taarifa ya uongo kupitia mitandao ya kijamii kuhusu kutekwa kwa watoto wanne katika shule ya Legezamwendo, hali iliyoleta taharuki kwa jamii.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania