#HABARI: “hapa tunawababaisha,mara tunasema skuli mara shule na yote kwasabau ya watawala wetu

#HABARI: “hapa tunawababaisha,mara tunasema skuli mara shule na yote kwasabau ya watawala wetu. uku Tanzania bara tulitawaliwa na Wajerumani nao wanasema schule, Zanzibar tulitawaliwa na Waingereza na wao wanasema school kwahio yote ni hio hio…..” Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dk. Samia Suluhu Hassan.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania

(Feed generated with FetchRSS)