#HABARI: Familia kadhaa katika Wilaya ya Ikungi, mkoani Singida, zimeokolewa kupoteza maisha kutokana na kuangukiwa na nyumba za…

#HABARI: Familia kadhaa katika Wilaya ya Ikungi, mkoani Singida, zimeokolewa kupoteza maisha kutokana na kuangukiwa na nyumba zao, ambazo zimeharibiwa na Mvua zilizonyesha mwaka huu, mara baada ya kujengewa nyumba mpya kupitia mpango wa huduma ya maendeleo ya Kijana na Mtoto unao fadhiliwa na Compation Tanzania.