#HABARI: Chama cha ACT Wazalendo, kimeitaka serikali kuhakikisha sheria ya ardhi na sera yake inasimamiwa ipasavyo kwa ajili ya …

#HABARI: Chama cha ACT Wazalendo, kimeitaka serikali kuhakikisha sheria ya ardhi na sera yake inasimamiwa ipasavyo kwa ajili ya kuepusha migogoro ya mara kwa mara ya wakulima na wafugaji maeneo mengi nchini.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania