#HABARI: Basi la abiria la kampuni ya AN classic lenye number za usajili T 682 EGU, linalofanya safari zake kati ya Dar es salaa…

#HABARI: Basi la abiria la kampuni ya AN classic lenye number za usajili T 682 EGU, linalofanya safari zake kati ya Dar es salaam kwenda Tabora, limepata ajali katikati ya Itigi mkoani singida na Itura mkoani Tabora, huku ikidaiwa mtu mmoja amepoteza maisha na wengine wakijeruhiwa. Juhudi za kumpata Mkuu wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora SACP Richard Abwao, kutoa taarifa ya kamili ya ajali hiyo bado zinaendelea.