#HABARI: Baadhi ya wananchi, viongozi wa dini na wa vyama mbalimbali vya siasa hapa nchini, wamehiza watu wote watakaopanda treni ya kiwango cha kimataifa inayotumia umeme ya SGR kuwa waadilifu katika kutunza miondombinu yote, iliyopo ndani na nje ya treni kwani uwekezaji huo wa serikali umetumia fedha nyingi ambazo thamani yake inapaswa kuonekana na sio kuhujumiwa.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania