#HABARI: Baadhi ya wakulima mkoani Simiyu, wameiomba serikali kwa kushirikiana na wadau wa kilimo kufikisha elimu ya teknolojia za kisasa za kilimo, zinazotolewa na wataalamu wa sekta hiyo kwenye maonesho ya siku ya wakulima(Nanenane), ifike maeneo ya Vijijini ili itumike kwa vitendo kwenye mashamba yao lengo likiwa kuondokana na changamoto ya kulima kiholela na kupelekea uzalishaji mdogo usio na tija.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania