#HABARI: Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Kunduchi mkoani Dar es Salaam, ambao maeneo ya makazi yao na wanapofanyia shughuli zao za kujipatia kipato, yamekumbwa na tope kutoka ardhini tangu mwaka 2020, wameiomba serikali kuu kutoa maamuzi juu ya hatima yao kwa kuwa wamezuiwa kufanya uendelezaji wowote katika maeneo hayo ikiwemo kukarabati nyumba zao.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania