#HABARI: Baadhi ya abiria wakiwa wamejazana kwenye Bajaji,huku wakiwa wamebeba dumu la kubebea vitu.
Bajaji hiyo ilikuwa ikielekea Feri, ikitokea maeneo ya Mnazi Mmoja, ambapo inaelezwa usafiri wa kuelekea maeneo hayo umekuwa wa shida kutokana na kutokuwepo kwa mabasi ya daladala yanayoelekea huko tofauti na yale ya Mwendokasi