#HABARI: Askari mmoja wa Jeshi la Akiba, wilayani Mbozi, mkoani Songwe, aliyejulikana kwa jina la Samweli Kaminyoge, aliyekuwa a…

#HABARI: Askari mmoja wa Jeshi la Akiba, wilayani Mbozi, mkoani Songwe, aliyejulikana kwa jina la Samweli Kaminyoge, aliyekuwa ameongozana na Maafisa wa Maliasili kumsaka simba aliyedaiwa kuvamia makazi ya watu na kuuwa mifugo mbalimbali ikiwemo ng’ombe na mbuzi katika Kata ya Magamba, iliyopo wilayani humo, amenusurika kuuwa na Simba huyo baada ya kumvamiwa na kumjeruhiwa maeneo mbalimbali ya mwili.