Guterres: Mwezi Mtukufu wa Ramadhani utumike kuleta amani

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametaka mwezi mtukufu wa Ramadhani utumiwe kwa ajili ya kuleta na kudumisha amani katika pembe mbalimbali za dunia hasa maeneo yanayokabiliwa na vurugu na machafuko.