Guterres: Israel haipaswi kuwa na uwepo wa kijeshi wa muda mrefu huko Gaza

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kwamba jeshi la Israel halipaswi kuwepo kwa muda mrefu huko Gaza na kwamba vielelezo vyote vya kufuta kabisa kizazi cha Wapalestina lazima vikomeshwe.