Guterres aonya kuhusu uwezekano wa vita vya kikanda kutokana na mgororo wa DRC

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, leo Jumamosi amesisitiza umuhimu wa kuheshimu “mipaka” ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na kuepusha vita vya kikanda.