Ghana: Dunia inamwaga mabilioni ya dola kwenye vita wakati mamilioni wanateseka kwa njaa

Waziri wa Mambo ya Nje wa Ghana Samuel Okudzeto Ablakwa amesema, matumizi ya kupindukia ya masuala yanakengeusha rasilimali muhimu za ulimwengu ambazo ingepasa zitumike kwa mahitaji ya kibinadamu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *