GCC yataka kuchukuliwa “hatua madhubuti” dhidi ya mashambulizi ya Israel nchini Syria

Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi (GCC) limetoa mwito wa kuchukuliwa “hatua madhubuti” ili kukomesha mashambulizi ya utawala haramu wa Israel dhidi ya Syria.