Filamu kuhusu Israel inavyowatimua Wapalestina katika ardhi yao yashinda tuzo ya Oscar

Filamu kuhusu utawala haramu wa Israel unavyowatimua Wapalestina katika ardhi yao, imeshinda tuzo ya Oscar na wakurugenzi wake wametoa wito kwa ulimwengu kusaidia kumaliza mgogoro huo na kuishutumu Marekani kwa kuzuia kufikiwa utatuzi.