Familia 25 za wahanga na manusura wa jinai za kisiasa zilizofanyika zama za ubaguzi wa rangi huko Afrika Kusini zimemfungulia mashtaka Rais wa Cyril Ramaphosa wa nchi iyo na serikali yake kwa kile zinachosema ni kushindwa kuchunguza ipasavyo makosa hayo na kutoa haki mkabala wa jinai hizo za kisiasa.
Related Posts
Umoja wa Mataifa: Waasi wa M23 wawateka wagonjwa 130 mashariki mwa DRC
Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, wapiganaji wa M23 wamewateka karibu watu 130 kutoka hospitali za mji wa Goma wa mashariki…
TAZAMA ndege ya kivita ya Urusi ikisukuma US F-16 mbali na mshambuliaji wa nyuklia
TAZAMA ndege ya kivita ya Urusi ikiifukuza US F-16 mbali na mshambuliaji wa nyukliaPentagon tangu wakati huo imelalamikia vitendo vinavyodaiwa…
Jumanne, 18 Februari, 2025
Leo ni Jumanne 19 Shaaban 1446 Hijria sawa na 18 Februari 2025. Post Views: 16