Fahamu uwezo mkubwa wa Papa kote duniani

Haishangazi kwamba Papa Francis, ambaye alifariki Aprili 21 na ambaye mazishi yake yalifanyika Jumamosi, Aprili 26, alivuta umati mkubwa wa watu wakati wa safari yake ya 2024 huko Asia, na karibu nusu ya wakazi wa Timor-Leste walihudhuria Misa nchini humo.

​  BBC News Swahili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *