Fahamu tahadhari aliyoitoa Nyerere kuhusu mgogoro wa mashariki ya DRC.

Waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wameuteka mji muhimu wa mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo wa Goma… lakini je, M23 kuiteka Goma pamoja na miji na vijiji vingine katika majimbo ya Kivu Kaskazini na Kusini kunaweza kuleta suluhu ya vita?