EU: Trump ni janga baya zaidi kwa dunia kuliko hata Corona

Naibu wa Gavana wa Benki Kuu ya Umoja wa Ulaya amesema kuwa, rais wa Marekani, Donald Trump amesababisha kukosekana utulivu katika ghughuli za kiuchumi na rais huyo ni janga baya zaidi kuliko hata janga la Corona la miaka mitano iliyopita.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *