Ethiopia yataka Italia irejeshe mali ilizopora za Shujaa wa Vita Ras Desta Damtew

Serikali ya Ethiopia imezindua kampeni maalum ya kurejesha mali za kihistoria na kiutamaduni zilizoporwa na utawala wa kikoloni wa Italia, mali ambazo zilikuwa zikimilikiwa na shujaa wa vita wa taifa hilo, Ras Desta Damtew.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *