Waziri wa Biashara na Ushirikiano wa Kikanda wa Ethiopia amesema kuwa, nchi yake ina nia thabiti ya kuhakikisha kunakuwepo utekelezaji madhubuti wa makubaliano ya Eneo Huria la Biashara la Bara la Afrika (AfCFTA) ili kutoa fursa kubwa za soko la ndani ya bara pana na kubwa la hilo.
Related Posts
Afrika Kusini yapinga ‘diplomasia ya kipaza sauti’ na ya kibabe ya Trump
Huku Rais wa Marekani, Donald Trump, akiendelea kuingilia masuala ya ndani ya Afrika Kusini, serikali ya Pretoria imetangaza kwamba haitajihusisha…
HAMAS: Mateka 6 Waisrael wataachiwa leo mkabala wa Wapalestina 602 walioko kwenye jela za Israel
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetangaza majina sita ya mateka Waisrael, ambao wanatazamiwa kuachiliwa leo katika mwendelezo…
Njaa, magonjwa yanawatesa wakimbizi wa Rohingya, Trump apunguza misaada
Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, Filippo Grandi amesema kuwa, uamuzi wa utawala wa Trump…