Errea nayo yabatilisha mkataba wake na Shirikisho la Soka la utawala wa Kizayuni

Kampuni nyingine ya udhamini wa vifaa vya michezo ya Ulaya imefuta mkataba wake na Shirikisho la Soka la utawala wa Kizayuni wa Israel na hivyo kutoa pigo jingine kwa utawala huo haramu.