Eneo la Iraq ambapo wakazi wanaishi ‘kwa hofu ya kifo kila dakika’

Kijiji kizuri cha Sargil kiko kwenye milima ya Kurdistan ya Iraq. Kwa vizazi vingi, wanakijiji kama Sherwan Sargal wametegemea shamba la komamanga, mlozi na tufaha kwa maisha yao, na sio hivyo tu, pia hukusanya matunda na mitishamba inayotumika kama viungo kutoka kwenye misitu mingine ya karibu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *