Elon Musk aunga mkono kujiondoa Marekani katika UN, NATO

Bilionea Elon Musk ametangaza hadharani kuunga mkono wazo la Marekani kujiondoa kutoka Umoja wa Mataifa UN na Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi NATO.