Duru za Wazayuni: Hamas inajijenga upya kwa kasi kubwa

Chombo komoja cha habari cha lugha ya Kiebrania kimezinukuu duru za usalama na kijasusi za Israel zikidai kuwa, kasi ya kujijenga upya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palesitna HAMAS kwa siku moja ni sawa na utendaji wa Israel kwa mwezi mzima.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *