Duru za Palestina zakanusha madai ya US kwamba HAMAS imekubali kupokonywa silaha

Duru moja ya Palestina yenye taarifa za mazungumzo yaliyofanyika kati ya HAMAS na serikali ya Marekani imekanusha ripoti zinazodai kuwa harakati hiyo ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina imekubali kupokonywa silaha mkabala wa kutekelezwa usitishaji vita baina yake na utawala wa Kizayuni wa muda mrefu huko Gaza.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *