DRC na Rwanda: ‘Amani itakuja kwa makubaliano ya mabilioni ya dola’ – Marekani

Marekani inazihimiza Rwanda na Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo kufikia makubaliano ya amani ambayo yataambatana na mkataba wa uwekezaji wa mabilioni ya dola katika madini, kwa mujibu wa mshauri mkuu wa Rais Donald Trump barani Afrika.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *