DR Congo: Makombora yanarushwa juu ya nyumba huku miili ikiwa imetapakaa mitaani Goma

Mashirika ya kutoa misaada ya UN yaonya juu ya kutokea kwa mgogoro wa kibinadamu huko Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo.