Donald Trump na kuanza tena sera iliyofeli ya mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran

Jumanne ya Februari 4, 2025, Rais Donald Trump wa Marekani alitia saini hati ya utendaji ili kuendeleza sera za mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran na kudai kwamba, “Yuko tayari kuzungumza na rais wa Iran.”