Deni la serikali ya Namibia limeongezeka kwa asilimia 10

Katika ripoti yake ya karibuni kabisa, Benki Kuu ya Namibia imetangaza kwamba, seni la serikali ya nchi hiyo limepanda na kufikia dola bilioni 164 za Namibia (kama dola bilioni 8.8 za Kimarekani) mwishoni mwa Desemba 2024 suala ambalo linaashiria ongezeko la asilimia 10.2 la deni hilo tangu mwanzoni mwa mwaka wa fedha wa 2024/25.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *