DeepSeek: Programu ya China ya akili mnemba (AI) inayozungumzwa duniani

Programu hiyo iliyotolewa tarehe 20 Januari 2025, imewavutia wataalamu wa AI, kabla ya kujumishwa kwenye sekta nzima ya teknolojia na duniani kwa ujumla.