DeepSeek: Programu ya akili mnemba ya China kwenye rada ya usalama wa Marekani

OpenAI iliunga mkono katika taarifa ambayo ilisema Wachina na kampuni nyingine “zinajaribu kila wakati kuweka mifano ya kampuni bora za Marekani.”