Deep Seek; Kuongezeka mchuano kati ya China na Marekani katika uga wa teknolojia

Kuibuka na kupanuka kwa teknolojia ya hali ya juu katika nyanja mbalimbali, hasa katika uwanja wa akili mnemba (Artificial Intligence) kumesababisha mabadiliko makubwa duniani Katika miaka ya hivi karibuni.