Da Silva: Tutalipiza kisasi dhidi ya ushuru wa Trump

Rais wa Brazil ametangaza kuwa: “Iwapo Donald Trump atatoza ushuru kwa bidhaa za Brazil, tutachukua hatua sawa za kulipizia kisasi.”