Waziri wa Kilimo wa Côte d’Ivoire, Kobenan Kouassi Adjoumani, amesema nchi yake, mzalishaji mkubwa wa kakao duniani, inaweza kuchukua hatua ya kuongeza bei ya bidhaa hiyo iwapo mapendekezo ya ushuru wa Rais Donald Trump wa marekani dhidi ya nchi yake yataanza kutekelezwa.
Related Posts
UNICEF: Watoto 15,000 wameuawa Gaza tangu Oktoba 2023
Mfuko wa Kudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa, watoto wasiopungua 15,000 wameuawa katika Ukanda wa Gaza tangu…

Angola yajiondoa kama mpatanishi wa mgogoro wa DRC
Angola imejiondoa kama mpatanishi wa Umoja wa Afrika katika mgogoro wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Post Views: 21

Kukiri jamii ya ujasusi ya Marekani kwamba Hamas haijashindwa huko Gaza
Ripoti kuhusu vitisho ambayo hutolewa kila mwaka na jamii ya masuala ya ujasusi ya Marekani imekiri kwamba kundi la muqawama…