Corneille Nangaa: Kutoka kuwa mkuu wa uchaguzi DRC hadi kuongoza waasi wa M23

Akiwa mkuu wa muungano wa Congo River Alliance (CRA) ambao ni washirika wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda, Corneille Nangaa Yubeluo ameteka miji muhimu ya mashariki mwa Congo, ikiwa ni pamoja na mji muhimu wa Goma…lakini je, Nanga ni nani?