Corbyn: Israel inabeba dhima ya kuuawa Wapalestina ‘ 61,709’ Gaza

Kiongozi wa zamani wa Chama cha Leba nchini Uingereza, Jeremy Corbyn ameubebesha dhima utawala haramu wa Israel na wale ambao wanaendelea kuupelekea silaha utawala huo wa Kizayuni, kwa mauaji ya kimbari huko Palestina.