Chuo cha Uhifadhi na Usimamizi wa Wanyamapori cha Mweka, mkoani Kilimanjaro, kimeanzisha mpango wa kufanya tafiti za kisayansi n…

Chuo cha Uhifadhi na Usimamizi wa Wanyamapori cha Mweka, mkoani Kilimanjaro, kimeanzisha mpango wa kufanya tafiti za kisayansi n…

Chuo cha Uhifadhi na Usimamizi wa Wanyamapori cha Mweka, mkoani Kilimanjaro, kimeanzisha mpango wa kufanya tafiti za kisayansi na kiikolojia ili kuongeza mazao ya utalii nchini.

Mpango huu unalenga kubuni taswira za kuvutia za wanyamapori kama njia mpya ya kuvutia watalii, kwa kutumia mabaki halali ya wanyamapori waliowindwa kihalali kama vile kwato, pembe, ngozi na mifupa.

Utafiti wa awali umeonesha kuwa uwindaji halali unaweza kuwa chanzo cha malighafi muhimu kwa ajili ya bidhaa za ubunifu ambazo zitaongeza thamani ya sekta ya utalii na uhifadhi nchini.

#azamnewsupdates
✍Enos Masanja
Mhariri| @official_jennifersumi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *