“Chuki dhidi ya Uislamu ni chombo cha kuhalalisha jinai za Israel”

Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amelaani mwenendo unaoongezeka wa kueneza chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu duniani na kusema kuwa, chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) ni nyenzo ya kuhalalisha uvamizi na jinai za utawala wa Kizayuni.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *