Chuki dhidi ya Uislamu nchini Ufaransa: Chombo cha Mauaji

Mauaji ya kudungwa kisu Muislamu nchini Ufaransa ndani ya Msikiti Khadija katika kijiji kilichoko kusini mwa nchini humo yameibua maswali mengi kuhusu kuongezeka kwa mivutano ya kijamii na ubaguzi dhidi ya Waislamu, hasa ikitiliwa maanani kwamba chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu (Islamophobia) ni jambo linaloisumbua nchi Ufaransa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *