China yazionya nchi nyingine dhidi ya kuingia mikataba ya kibiashara na Marekani

Beijing itapinga vikali nchi yoyote kuingia katika makubaliano kwa gharama ya kuathiri uchumi wa China, na “itachukua hatua za kukabiliana na hilo,” imesema Wizara yake ya Biashara.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *