China yasema iko tayari kwa vita ya aina yoyote na Marekani

Nchi mbili zenye uchumi mkubwa zaidi duniani zimekaribia kuingia kwenye vita vya kibiashara baada ya Trump kuweka vikwazo zaidi vya kibiashara kwa bidhaa zote za China.