China yaapa ‘kupambana hadi mwisho’ dhidi ya ushuru wa Trump

Wizara ya Biashara ya China imeionya Marekani dhidi ya kuingia katika msururu wa vikwazo vya kibiashara vya ‘kujibishana mapigo’ baada ya rais wa nchi hiyo Donald Trump kutishia kuweka ushuru wa ziada kwa bidhaa za China zinazoingizwa nchini Marekani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *