China na Russia zahimiza kuhitimishwa ‘vikwazo haramu’ dhidi ya Iran

Wanadiplomasia wa China na Russia wametoa wito wa kuondolewa “vikwazo visivyo halali” dhidi ya Iran, wakisisitiza kuwa Tehran inayo haki ya kutumia nishati ya nyuklia kwa malengo ya amani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *