China na Marekani: Nani kuibuka mbabe katika vita yao inayofukuta?

Nchi mbili zenye uchumi mkubwa zaidi duniani zimekaribia kuingia kwenye vita hasa ya kibiashara, kufuatia majibizano kadhaa katika kipindi cha miaka kadhaa sasa