China: Kuwepo kwa ‘Mfumo wa Kambi Kadhaa’ duniani ni jambo lisiloweza kuepukika

Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi ameashiria mabadiliko ya kimuundo yanayojiri katika mfumo wa kimataifa na kubainisha kuwa nchi yake inatilia mkazo ulazima wa dunia kuelekea kwenye mfumo wa kambi kadhaa.