China haitakubali sera ya ‘Marekani Kwanza’ yenye msingi wa ubabe wa Kimarekani

Waziri wa Mambo ya Nje wa China amesema kuwa sera ya Rais Donald Trume ya ‘Marekani Kwanza’ haiwezi kufanikishwa kwa kutumia mbinu za ubabe wa Kimarekani, hasa iwapo jambo hilo ni kwa hasara ya maslahi ya nchi nyingine.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *