Chimbuko la vita vya mashariki mwa DRC ni nini?

Japo eneo la mashariki mwa Congo linalojumuisha majimbo ya Ituri, Kivu kusini na Kivu Kaskazini, yana jumla ya makundi ya wapiganaji zaidi ya 129, kundi la waasi la M23 ndilo lenye historia ya kuzua ghasia.