Chicago yamuenzi mtoto Muislamu Mpalestina wa miaka 6 aliyeuliwa kikatili kwa kuchomwa kisu mara 26

Viongozi wa mji wa Plainfield ulioko katika jimbo la Chicago nchini Marekani, wameamua kuupa uwanja wa michezo na burudani kwa watoto jina la mtoto mmoja wa Kiislamu mwenye asili ya Palestina.